MB mbegu_bora · 1w ago Dodoma · Tips / Advice Download Open post Copy link About this account 5 3 mbegu_boraUshauri wa msimu: Panda mahindi mvua za kwanza zikishanyesha angalau 25mm. Umbali wa 75cm x 30cm hutoa mavuno bora kwa mbegu chotara. #mahindi #ushauri more 1 week ago · See translation